Tim Akinola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Timothy Olaoluwa Akinola (alizaliwa 8 Mei 2001) ni mchezaji wa soka wa Nigeria anayeshiriki kama kiungo wa kati katika klabu ya Chesterfield, akiwa kwa mkopo kutoka klabu ya Arsenal F.C..[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tim Akinola kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.