Tarimba Gulam Abbas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tarimba Gulam Abbas ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kinondoni kwa miaka 20202025. [1] Kielimu yeye ni mwanasheria. Alifanya kazi kama mkurugenzi wa bodi la kusimamia bahati nasibu katika serikali ya Zanzibar hadi 2017. Baadaye aliendelea Tanzania Bara akiwa diwani katika halmashauri ya Kinondoni.

Marejeo

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017