English-Swahili Dictionary (TUKI)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka TUKI-ESD)
Rukia: urambazaji, tafuta

KKK/ESD ni kifupi cha "Kamusi ya Kiingereza - Kiswahili" (English-Swahili Dictionary) iliyoandaliwa na wataalamu wa TUKI kwenye Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kutolewa mara ya kwanza 1996. Toleo la pili lililoongezeka na kuwa na masahihisho likatolewa mwaka 2000.

Kamusi hii inataja maana za Kiswahili kwa maneno zaidi ya 50,000 ya Kiingereza.

Marejeo [hariri]

  • English-Swahili Dictionary (ESD), 2nd edition (imetungwa TUKI, Dar es Salaam 2000)