Sylvia Lumasia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sylvia Lumasia Rasoha (anayefahamika kama Sylvia Lumasi[1]) ni mwanasoka wa Kenya anayecheza nafasi ya mchezaji wa mbele[2] kwenye timu ya Kibera Girls Soccer Academy[3] na timu ya wanawake nchini Kenya.

Kazi za Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Lumasia aliishindia Kenya katika ngazi za juu wakati wa 2019 Michuano wa wanawake wa CECAFA[4].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Full house in Harambee Starlets squad ahead of Zambia Olympics Qualifier". FKF.
  2. "Harambee Starlets jet out to Zambia for Olympics Qualifiers second leg". FKF.
  3. "WPL Review: Nyuki Starlets go top as Gaspo hand Kibera rude welcome". FKF.
  4. "Harambee Starlets romp into CECAFA final with big win over Burundi". FKF.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Sylvia Lumasia kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.