Susanne Peter Maselle

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Susanne Peter Maselle ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti Maalum kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017