Sundsvall
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sundsvall ni mji nchini Uswidi. Mji ulianzishwa 1621. Kuna wakazi 49,339 (mwaka 2005).
Jiografia [hariri]
Eneo lake ni 27.39 km². Iko kando ya Ghuba ya Bothnia..
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sundsvall kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |