Sudi Katunda Mwilima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sudi Katunda Mwilima ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kigoma Kusini kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017