Soufiane Benjdida

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Soufiane Benjdida
Youth career
2012-2015AMF
2015-2016Fath US
2016-2018AS FAR
2018-2021Raja CA
Senior career*
MiakaTimuApps(Gls)
2021–Raja CA55(12)
Timu ya Taifa ya Kandanda
2020-2021Morocco U20
2021-Morocco U2313(6)
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only and correct as of 19 Aprili 2023.
† Appearances (Goals).

Soufiane Benjdida (alizaliwa 5 Septemba 2001) ni mchezaji wa soka wa Morocco ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Raja CA na timu ya Olimpiki ya Morocco ambapo yeye ni nahodha.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Soufiane Benjdida statistics and biography at FootballDatabase.com
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Soufiane Benjdida kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.