Solna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makao makuu ya Scandinavian Airlines

Solna ni manispaa na mji nchini Uswidi. Mji ulianzishwa 1943. Kuna wakazi 61,717 (mwaka 2005). Scandinavian Airlines iliyo na makao makuu mjini Solna.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Eneo lake ni 21.11 km².

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Solna kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.