Shule ya Sekondary Chizongwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shule ya Sekondari ya Chizongwe

Chizongwe Secondary School ni shule ya sekondary ya ufundi iliyopo katika mji wa Chipata katika nchi ya Zambia, shule hii ilianzishwa mwaka 1950s na ilikuwa ikijulikana kama Fort Jameson Trades School ikiwa ni shule ya kwanza ya ufundi katika jimbo la mashariki mwa Zambia .[1]

Kati ya mwaka 1959 na 1960 shule hii ilijihusiswa katika mandamano ya wanafunzi ya kupinga vitendo vya kibaguzi [2] ,[3] the latter being probed by the Monckton Commission.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shule ya Sekondary Chizongwe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.