Shirikisho la Mpira wa Kikapu la Kifalme Moroko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shirikisho la Mpira wa Kikapu la Kifalme Moroko (Kiarabu: الجامعة الملكية المغربية لكرة السلة, (FRMBB) ni bodi ya mpira wa kikapu nchini Moroko, iliyo anzishwa mwaka 1956, yenye makao makuu Rabat.[1] FRMBB ni mwanachama kamili wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Kikapu (FIBA)[2] pia mwanachama wa FIBA Afrika. Aourach Mostafa ndiye Rais wa shirikisho hilo kwa sasa.

Marais[hariri | hariri chanzo]

  • Mohamed Smirès
  • Mohamed Alami
  • Hamid Skalli
  • Thami Bennis
  • Mohammed Ibrahimi
  • Hammouda Yousri
  • Noureddine Benabdenbi
  • khalid tajeddine
  • Khalid Taje-eddine

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Fédération Royale Marocaine de BasketBall". Fédération Royale Marocaine de BasketBall (kwa fr-FR). Iliwekwa mnamo 2022-09-01. 
  2. "FIBA.basketball". FIBA.basketball (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-09-01.