Shane Booysen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shane Booysen (alizaliwa 23 Novemba 1988) ni mchezaji wa soka wa Afrika Kusini anayesakata mpira kwa Phnom Penh Crown[1] katika Ligi ya Cambodia.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Andy Browser (18 Machi 2015). "Shane signs on at Crown". Iliwekwa mnamo 3 Desemba 2015. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shane Booysen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.