Shairi funzo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

1. Mitaani wanazugaga,

     mara eti tunakulaga,
     chanzo wamenitega,

2. vipo vingi vya kulaga,

     kuna piza na baga,
     mtabakia mizoga,

3. acheni kutegeka,

     mtapigwa mieleka,
     mshindwe kupendeka.

4. wengi wao wapogoro,

     kukesha kwene kigodoro,
     wanazua migogoro, 
     mie yangu michoro,.

5. kwa mbali utawasikia,

     wamejifanya abilia,
     kosa wamewachomolea,
     vijisenti vya kujilia.,

6. wanaviita visingeli,

     eti,vinachachua akili,
     mie zangu kheri,
     hata,zikidumaza akili.,

7. wakesha usiku kucha,

    na alfajiri kukikucha,
    wamechoka kama kufa.,

8. ni michezo ya kisasa,

    kuitana vilaza,
    warlett wa mwanza,
    kuwaelimisha wa kwanza.

9. wanamuita mwana stanza,

    kisa yeye ni mtanza,
    kuwaelimisha ni wa kwanza,
    

10. vigodoro na visingeli,

    viduku na vibaiskeli,
    hivi si kama wali,
    kuvisujudu kama mwali,...



[gasper d warlet]