Sandister Tei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sandister Tei

Sandister Tei ni mtaalamu wa Vyombo vya habari wa nchini Ghana ambaye alikua mwanawikimedia wa mwaka mnamo Oktoba 2020 na Mwanzilishi mwenza wa Wikipedia Jimmy Wales.

Yeye ndiye mwanzilishi na mfanyakazi wa kujitolea wa Kikundi cha Watumiaji cha Wikimedia Ghana.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Planning Wikimedia Ghana". GhanaWeb (kwa Kiingereza). 2013-08-23. Iliwekwa mnamo 2022-10-02.