Samuel John Sitta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Samwel Sitta)
Sitta

Samuel John Sitta (amezaliwa 18 Desemba, 1942) ni mbunge wa jimbo la Urambo Mashariki katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Samwel Sitta". 28 Juni 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-27. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.