Nenda kwa yaliyomo

Safari 431 ya Kenya Airways

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kenya Airways flight 431


Kenya Airways Flight 431 ilikuwa safari ya ndege ya aina ya Airbus A310-300 ambayo ilikuwa imepangwa kimataifa katikati ya Abidjan-Lagos na Nairobi. Ndege hii ilianguka kwenye bahari karibu na pwani ya Ivory Coast, tarehe 30 Januari 2000, saa 21:09:24 GMT , muda mfupi baada ya kutoka kwa uwanja wa Kimataifa wa Felix Houphouët-Boigny.[1][2]Ilikuwa na jumla ya watu 179 huku 169 walikuwa ni abiria.[1][2][2][3][4] Hii ilikuwa ni ajali ya kwanza iliyosababisha vifo iliyokumba Kenya Airways.

Iliyopewa jina Harambee Star, ndege iliyohusika katika ajali ilikuwa aina ya Airbus A310-304, mkia nambari ya usajili 5Y-BEN, ilikuwa imenunuliwa ikiwa mpya na kampuni ya Kenya Airways mnamo 1986.[5][6][7]

Virejeleo

[hariri | hariri chanzo]
  1. Jump up to: 1.0 1.1 "REPORT Accident which occurred on 30 January 2000 in the sea near Abidjan Airport to the Airbus 310-304 registered 5Y-BEN operated by Kenya Airways" (PDF). Bureau d'Enquêtes et d'Analyses pour la Sécurité de l'Aviation Civile. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2013-10-29. Iliwekwa mnamo 2011-5-20. {{cite web}}: Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Jump up to: 2.0 2.1 2.2 "Kenyan plane crashes into sea". Retrieved on 2012-08-27. Archived from the original on 2012-03-03. 
  3. "Rescuers seek more survivors of Kenya Airways crash". Retrieved on 2011-5-20. Archived from the original on 2005-05-20. 
  4. "Over 100 feared dead after Kenyan jet crash", 2000-1-31. Retrieved on 2012-08-27. Archived from the original on 2012-03-03. 
  5. "WebCite query result". webcitation.org. 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-03. Iliwekwa mnamo 27 Agosti 2012. {{cite web}}: Cite uses generic title (help)
  6. "WebCite query result". webcitation.org. 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-10-30. Iliwekwa mnamo 27 Agosti 2012. {{cite web}}: Cite uses generic title (help)
  7. "WebCite query result". webcitation.org. 2012 [last. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-10-30. Iliwekwa mnamo 27 Agosti 2012. {{cite web}}: Check date values in: |year= (help); Cite uses generic title (help)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]