SHIWATA

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

SHIWATA ni Mtandao wa Wasasnii nchini Tanzania. SHIWATA awali ilijulikana kama SHIRIKISHO LA WASANII TANZANIA, bali kutokana na mgongano wa usajili na Msajili ambae ni Baraza la Sanaa la Taifa baadae ilikubalika kwamba iitwe Mtandao wa Wasanii kutokana na Kusajiliwa kwa mashirikisho manne Shirikisho la Wasanii Tanzania pamoja na kubadilishwa kuwa Mtandao wa Wasanii limeendela kuitwa SHIWATA.

Historia[hariri | hariri chanzo]

SHIWATA ni mtandao wa wasanii Tanzania ambao ulianzishwa mwaka 2002 kwa lengo la kuwaweka pamoja Wasanii, wanamichezo na wanahabari. Mkusanyiko huu wa wasanii mbalimbal;I ndio uliopelekea kuanzisha umoja ambao kwa sasa umeandaliwa kama chombo cha kuwaweka pamoja wadau wote walio katika tasnia za Sanaa, Michezo na Habari kwa kupewa eneo la kujenga nyumba zao za kuishi na tayari mradi huo umeshaanza kutekelezeka kwa baadhi ya wasanii kujenga nyumba ambapo wenginee wameshahamia tayari katika kijiji cha Wasanii kilichopo Mwanzega wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]