Rochdi Achenteh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rochdi Achenteh (alizaliwa 7 Machi 1988) ni mchezaji wa soka wa kimataifa wa Morocco anayecheza kama Beki wa kushoto na hivi karibuni alikuwa na klabu ya FC Ararat-Armenia.[1]

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Achenteh alianzia katika mfumo wa vijana wa PSV Eindhoven[2] na baadaye alicheza katika klabu ya FC Eindhoven na PEC Zwolle, kabla ya kuondoka Zwolle na kujiunga na Vitesse mwezi Januari 2014.[3] Mwezi Januari 2016, Achenteh alisainiwa na Willem II.[4]

Tarehe 25 Juni 2019, Ararat-Armenia ilitangaza kumsajili Achenteh.[5] Tarehe 18 Julai 2020, Achenteh aliacha Ararat-Armenia.[6]

Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Achenteh alichezea Timu ya taifa ya Morocco katika mechi ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika mwezi Novemba 2014 dhidi ya Benin.[7]

Mafanikio[hariri | hariri chanzo]

Ararat-Armenia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Kigezo:Worldfootball.net
  2. Youth career - PSV Jeugd Kigezo:In lang
  3. Rochdi Achenteh verruilt PEC Zwolle per direct voor Vitesse - RTV Oost Kigezo:In lang
  4. Rochdi Achenteh kiest voor Willem II: 'Brabant is fijn, maar carnaval? Daar doe ik niet aan' - Omroep Brabant Kigezo:In lang
  5. "🔁Նոր տրանսֆեր". facebook.com/ (kwa Armenian). FC Ararat-Armenia Facebook. 25 June 2019. Iliwekwa mnamo 25 June 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  6. "Ռուժդի Աշենտեն հեռացավ "Արարատ-Արմենիայից". ֆուտբոլիստի և ակումբի միջև կնքված պայմանագրի ժամկետն ավար տվել է". facebook.com/ (kwa Armenian). FC Ararat-Armenia Facebook. 18 July 2020. Iliwekwa mnamo 19 July 2020.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  7. Achenteh, een trotse én teleurgestelde international - Voetbal International Kigezo:In lang
  8. Kigezo:Soccerway

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rochdi Achenteh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.