Roberto Telch

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Roberto Telch

Roberto "Oveja" Telch (6 Novemba 1943 - 12 Oktoba 2014) alikuwa mchezaji wa soka wa Argentina.

Alizaliwa San Vicente, Córdoba, na alishinda michuano minne ya ligi na San Lorenzo nchini Argentina na aliwakilisha timu ya soka ya taifa ya Argentina katika Kombe la Dunia ya 1974.

Alikufa kwa ugonjwa wa moyo.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Roberto Telch kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.