Richard Tuwangye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Richard Tuwangye Richard Tuwangye (amezaliwa 16 Oktoba 1980) ni mwigizaji, mcheshi na mwanamuziki kutoka Uganda. Yeye ni mwanachama mwanzilishi wa Fun Factory Uganda.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]