Richard Saidi Nyaulawa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Richard Said Nyaulawa)

Richard Saidi Nyaulawa (amezaliwa tar. 26 Desemba 1961) ni mbunge wa jimbo la Mbeya Vijijini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Richard Saidi Nyaulawa". 17 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.