Puma fenty

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kiatu aina ya Puma

Puma fenty ni aina ya kiatu ambacho kipo kwenye mfumo wa raba chenye soli kubwa chini.

Puma fenty ni viatu hasa viliyoundwa kwa ajili ya michezo au aina nyingine ya mazoezi ya mwili, lakini ambayo sasa pia hutumiwa sana kwa kuvaa kila siku.

Puma Fenty ni aina ya raba yenye upekee na urahisi unayofanywa kwa vifaa vya mpira au vifaa vya juu na sehemu ya juu iliyofanywa kwa ngozi, badala ya kitambaa.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Puma fenty kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.