Nenda kwa yaliyomo

Omotola Jalade Ekeinde

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Omotola Jalade Ekeinde

Omotola Jalade Ekeinde (2015)
Amezaliwa Omotola Jalade Ekeinde
Nigeria
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1995-
Ndoa Capt. Matthew Ekeinde
Tovuti rasmi

Omotola Jalade Ekeinde ( alizaliwa katika jimbo la Lagos, 1978) ni mwigizaji wa filamu wa Nollywood huko nchini Nigeria. Ameolewa na Capt. Matthew Ekeinde na ana watoto wa 4. Mbali ya kuwa miongoni mwa waigizaji filamu wenye mafanikio makubwa kabisa wa Nollywood, pia ni mwimbaji na hujishughulisha na masuala ya kihisani huko nchini mwake Nigeria.

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Omotola, anatokea katika jimbo la Ondo State, Omotola alikulia katika familia ya watu watano, wazazi wake pamoja na kaka zake wawili ambao ni Tayo na Bolaji Jalade,mama yake Oluwatoyin Jalade née Amori Oguntade, anafanya kazi katika kampuni ya J.T Chanrai' ya Nigeria,na baba yake , Oluwashola Jalade katika jmbo la Lagos.[1] Omotola alikuwa na ndoto za kuwa mtaalamu katika masuala ya biashara lakini pia alianza kujihusisha na uanamitindo .

Filmografia

[hariri | hariri chanzo]
  • My Last Ambition (2009)
  • Beyonce & Rihanna (2008)
  • Temple of Justice (2008)
  • Tomorrow Must Wait (2008)
  • Yankee Girls (2008)
  • Careless Soul (2007)
  • Desperate Sister (2007)
  • Final War (2007)
  • Sand in My Shoes (2007)
  • Sister's Heart (2007)
  • The Prince of My Heart (2007)
  • The Revelation (2007)
  • Titanic Battle (2007)
  • Total War (2007)
  • Brave Heart (2005)
  • Games Women Play (2005)-(akiwa na Genevieve Nnaji na Desmond Elliot)
  • Queen of Hasso Rock (2005)
  • A Kiss from Rose (2004)
  • All My Life (2004)
  • Die Another Day (2004)
  • Fateful Love (2004)
  • In Totality (2004)
  • Last Wedding (2004)
  • Masterstroke (2004)
  • Moment of Joy (2004)
  • My Blood (2004)
  • No One But You (2004)
  • Pretty Woman (2004)
  • Royal Family (2004)
  • The Woman in Me (2004)
  • Worst Marriage (2004)
  • Shackles and the Rugged Cross (2003)
  • Beyond Belief (2003)
  • Blood Sister (2003)
  • I Have a Dream (2003)
  • I Will Die for You (2003)
  • Market Sellers (2003)
  • My Best Friend (2003)
  • Naomi (2003)
  • Oyato (2003)
  • Rescue (2003)
  • Society Lady (2003)
  • Soul Provider (2003)
  • The Outsider (2003)
  • The Silent Book (2003)
  • Touching Love (2003)
  • True Love (2003)
  • Under Fire (2003)
  • What I Want (2003)
  • When Love Dies (2003)
  • Working for Love (2003)
  • Kosorogun (2002)
  • Lost Kingdom (1999)
  • Scores to Settle (1998)
  • Iva (1993)
  1. "Omotola Jalade Ekeinde". Heels of Influence (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-05-28.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]