Nishati Nukta Sifuri
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nishati Nukta Sifuri
Ni chanzo cha nishati isiyo na mpaka iliyogunduliwa katika nyanja za kisayansi katika kipindi cha karibuni.
Chanzo cha nishati ya namna hii inapingana na nadharia ya kawaida juu ya tabia ya madilishano kinishati ya Kanuni ya Uhifadhi Sawia Wa Kinishati (taz. Nishati)