Ngorongoro
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ngorongoro ("Ngorongoro Conservation Area") ni eneo la kasoko kubwa nchini Tanzania mnamo kilomita 180 kutoka Arusha na pia hifadhi la taifa linalojulikana kote duniani. Eneo hili ni sehemu ya Serengeti.
Kuna jumla la wanyamapori wakubwa takriban 25,000 pamoja na vifaru, viboko, nyumbu, pundamilia, nyati na simba, fisi, chui .
Ngorongoro imepokelewa katika orodha la urithi wa dunia la UNESCO.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ngorongoro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
