Ndanda F.C.

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ndanda Football Club ni klabu ya soka iliyoko katika mkoa wa Mtwara nchini Tanzania. Wanashindana katika Ligi Kuu Tanzania Bara.

Michezo ya nyumbani huchezwa kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona huko Mtwara.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Ndanda F.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.