Napier, New Zealand
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
|
|
|
|---|---|
Mji wa Napier (New Zealand) |
|
|
|
|
| Mkoa | Hawke's Bay |
| Anwani ya kijiografia | Latitudo: 39°29′0″0 - Longitudo: 176°55′0″E |
| Eneo | 106 km² |
| Wakazi | 57,600 (mji pekee) 58,600 (pamoja na rundiko) |
| Msongamano wa watu | watu 529.2 (mji pekee) kwa km² |
| Simu | +64 (nchi), 06 (mji) |
| Mahali | |
Napier (Kimaori: Ahuriri) ni mji wa New Zealand mwenye wakazi 57,600 (2010). Iko upande wa kaskazini wa kisiwa. Eneo lake ni 106 km². Mji ulinazishwa mwaka 1874.
Viungo vya nje [hariri]
- (Kiingereza) Tovuti rasmi
| Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Napier, New Zealand kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |