Naghenjwa Livingstone Kaboyoka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Naghenjwa Livingstone Kaboyoka ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Same Mashariki kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017