Nada Haffadh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nada Haffadh alikuwa mwanamke wa kwanza katika baraza la mawaziri la Bahrain, alipoteuliwa waziri wa afya mwaka 2004 [1] alidumu katika nafasi hiyo hadi septemba 2007. Hapo awali alikuwa akihudumu katika nyumba ya juu ya bunge la Bahrain, Halmashauri ya ushauri.

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Haffadh alisoma udaktari nchini Misri na katika chuo cha upasuaji nchini Ireland kabla ya kurudi Bahrain kwa ajili ya vitendo, ameifanyia kazi wizara ya afya kama daktari na utawala. Haffadh alishika wizara baada ya aliyekuwa madarakani kushindwa na mageuzi ya kiserikali kupitia kwa madaktari.

Haffadh alibadilishwa katika baraza la mawaziri mnamo septemba 2007 serikali ilipotafuta wakosoaji katika bunge lenye tawala uislam na kuondoa mawaziri ambao wanamgogoro na wabunge. Haffadh awali aliamua kujiuzulu aprili 2007 kufuatia uundwaji wa tume ya bunge kuchunguza kazi za wizara ya afya. Tume (wanachama walikuwa Mohammed Khalid na Jassim Al Saeedi)ilipewa msukumo baada ya ukaguzi wa huduma za afya za Bahrain kwa halmashauri ya afya na watu wa kanada na kugundua baadhi ya watumishi wa wizara walikuwa wakiepuka maelezo ya msingi ya kiusalama.[2] Hata hivyo Haffadh aliungwa mkono na jamii ya matibabu ya Bahrain, ambayo inapingwa na uchunguzi wa bunge na inaaminika kwamba ilimpa motisha kisiasa, na BMS alisema rasmi: "Tume ya uchunguzi haichunguzi makosa ya wizara na mapungufu. Badala yake inalenga waziri. Jitihada zake za kuboresha mambo yasiyostaili kusifiwa na kosa lolote dhidi yake ni haikubaliki kwetu."

Mwanachama wa Bahrain Shia, alikuwa mwanaharakati wa haki za wanawake Bahrain.(Supreme Council for Women.)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Apps - Access My Library - Gale". www.accessmylibrary.com. Iliwekwa mnamo 8 May 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Health report reveals 'risks'". Gulf Daily News. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-11-08. Iliwekwa mnamo 8 May 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nada Haffadh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.