Mumias Sugar FC
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Logo | ||
| Full jina | Mumias Sugar Football Club | |
|---|---|---|
| Kimeanzishwa | 1977 | |
| Dissolved | 2007 | |
| Ground | Mumias Sports Complex Mumias, Kenya (Capacity: 10,000) |
|
| Ligi | Kenyan Premier League | |
| 2006/07 | Withdrew | |
|
||
Mumias Sugar FC ilikuwa klabu ya kandanda nchini Kenya iliyoanzishwa mwaka wa 1977 na makao ilikuwa mjini Mumias. Uwanja wake wa nyumbani ulikuwa Mumias Sports Complex. Ilikuwa mwanachama wa zamu wa divisheni ya juu zaidi katika kandanda ya Kenya, lakini klabu hii ilivujwa katikati mwa msimu wa 2007
Klabu hii ilishinda Kombe la Rais miaka ya 1996 na 1999, ingawa ushindi wa pili ulitupiliwa mbali kutokana na kashfa ya udanganyifu wa mechi
Klabu hii ilikuwa inamilikiwa na Mumias Sugar Company.
Majalio [hariri]
- Kombe la Rais
-
- 1996, 1999
Utendaji katika mashindano ya CAF [hariri]
- Kombe la CAF la washindi:Tokeo 1
-
- 1971: Raundi ya kwanza
- Kombe la CAF : Tokeo 1
-
- 1999 - Raundi ya Kwanza
Marejeo [hariri]
|
|
|||||
- Vilabu vya kandanda vya Kenya vya kitambo
- Vilbau vya kandanda vilivyoanzishwa mwaka wa 1977
- Vilbau vya kandanda ambavyo havikuanzishwa mwaka wa 1977
- Mchezo katika Mkoa wa Magharibi (Kenya)