Mtumiaji:Timothy Matara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jina langu ni Timothy Matara, kutoka mji wa Garissa mkoa wa kaskazini mashariki. Nilisomea katika shule ya msingi ya Kiambu, kisha nikajiunga na shule ya upili ya Kijabe Boys huko Kijabe. Nina Diploma ya ualimu ya elimu ya juu katika taraknishi.

Naweza kuandika na kuelewa luhga ya Kiswahili na Kiingereza