Mtumiaji:Segyjoe/Chuo Kikuu cha Adrar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chuo Kikuu cha Afrika cha Ahmed Draia wa Adrar ni chuo kikuu kipatikanacho Adrar, Kusini Magharibi mwa Algeria.[1][2] Kilipewa jina la Chuo Kikuu cha Afrika tangu mwanzo sababu watafiti na maabara zake zinajihusisha na masomo ya Afrika na wengi wa wanafunzi wake wanatokea katika nchi mbalimbali za Afrika, lakini hivi karibuni, kilipewa jina la shahidi Ahmed Draia kwa sababu ni alama ya taifa kwa wale waliopigana kwenye Vita ya Uhuru wa Algeria.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Algeria", International Handbook of Universities 2019 (kwa Kiingereza) (Springer International Publishing), 2019: 23–57, ISBN 978-3-319-76971-4, doi:10.1057/978-3-319-76971-4_3, iliwekwa mnamo 2022-12-10 
  2. 2.0 2.1 "الرئيــــــــسية". جامعة أحمد دراية (kwa Kiarabu). Iliwekwa mnamo 2022-12-10.