Mtumiaji:Martine Ernest

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Botswana girl Guides association

Chama Cha viongozi wa wasichana Botswana ni shirika la kitaifa la viongozi wa Botswana.Inatumikia wanachama 10,310(Kati ya 2014).ilianzishwa mwaka 1924,shirika la wasichana lililokua mwanachama kamili wa jumuiya ya ulimwengu ya viongozi wa wasichana wa skauti mwaka 1969.

Mfumo[hariri | hariri chanzo]

Kusudi la chama ni "kuendeleza uwezo wa wasichana ili kuwa raia wenye uwajibikaji katika jamii yoyote.Chama huendeshesha kozi ya miaka miwili juu ya uchumi wa nyumbani Kwa ajili ya kuacha shule kwa msingi wa kitaifa,hasa Kwa wasichana.Washiriki kupata cheti mwishoni mwa mwaka wa pili katika kushona au upishi.mradi huo ulianza mwaka wa 1981.na baadhi ya wahitimu wanafanya kazi katika hoteli za eneo hilo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]