Karibu kwenye ukurasa wangu Mimi Ally Kiliwasha . Mimi ni mhariri wa kujitolea katika kundi la wahariri wa Wikimedia Community User Group Tanzania. Najihusisha na Uhandisi mitambo, Maji na Teknolojia.