Mtumiaji:Creeddd
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mimi ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha strathmore. Nina miaka ishirini na moja, na ninasomea somo la BBIT. Nilizaliwa tarehe 26 1989. Nilisomea shule ya msingi ya Langata West, na shule ya upili ya Moi Forces academy.
| KWC | Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Strathmore. |
| KWC | Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009. (Submissions) |