Mtumiaji:Costantine M. Makobe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Faili:Mwandishi (CHANGAMOTO 9).png
Faili:Mwandishi (CHANGAMOTO 9).png
Costantine Makobe ni mwandishi wa mashairi ya changamoto yenye kuelezea mambo kadha wa kadha yaliyo ijenga jamii ya kitanzania, mashairi yaliyobeba huzuni na uhalisia wa maisha ya watanzania.costantine makobe alizaliwa mkoani mwanza wilayani ukerewe mnamo mwaka 1999.
Map

Costantine Makobe (Ni mwandishi wa mashairi hususani ya kimapokeo yenye kuelezea mambo kadha wa kadha yanayoihusu jamii) alizaliwa tarehe 25, mwezi desemba mwaka 1999 huko Mwanza.Ameandika kitabu kiitwacho "Mashairi ya Changamoto" ambacho pia chaweza kutumika mashuleni kwa kufundishia.