Mtumiaji:Atlmu2009

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Strathmore.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)


Majina:Atlanta Munyite Kufwafwa.Mimi ni mwanafunzi wa Sayansi ya Tarakilishi ikijumuishwa na Biashara(Mwaka wa kwanza)chuoni Strathmore.Furaha yangu kuu ni kuwa,najivunia kutukuza na kukuza Kiswahili.