Mto Gibe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Gibe unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia.

Unachangiwa maji na mto Amara, mto Alanga na mto Gilbel Gibe.

Ndio tawimto kubwa zaidi la mto Omo, ambao unatokana na muungano wa mto Gibe na mto Wabe na unaishia katika ziwa Turkana.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Gibe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.