Mtetezi wa ardhi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mtetezi wa ardhi, mlinzi wa ardhi au mtetezi wa mazingira ni mwanaharakati anayefanya kazi kulinda mfumo wa ekolojia na haki ya binadamu kuishi kwenye mazingira safi na salama [1][2] [3].

Mara nyingi, watetezi ni watu wa jamii asilia wanaolinda ardhi za mababu wao dhidi ya uchafuzi na uharibifu[4][5].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Larsen, Billon, Menton, Aylwin, Balsiger, Boyd, Forst, Lambrick, Santos, Storey, Wilding (2021). "Understanding and responding to the environmental human rights defenders crisis: The case for conservation action". Conservation Letters 14 (3). doi:10.1111/conl.12777. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-03-06. Iliwekwa mnamo 2022-04-30.  Unknown parameter |s2cid= ignored (help)
  2. Ducklow, Zoë (10 January 2019). "Judy Wilson's Message for Canadians: 'The Land Defenders Are Doing This for Everybody'". The Tyee (kwa English). Iliwekwa mnamo 20 January 2020.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. "Protesters? Or land protectors?". The Indy (kwa en-US). 28 October 2016. Iliwekwa mnamo 15 January 2020.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. Larsen, Billon, Menton, Aylwin, Balsiger, Boyd, Forst, Lambrick, Santos, Storey, Wilding (2021). "Understanding and responding to the environmental human rights defenders crisis: The case for conservation action". Conservation Letters 14 (3). doi:10.1111/conl.12777. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-03-06. Iliwekwa mnamo 2022-04-30.  Unknown parameter |s2cid= ignored (help)
  5. IWGIA. "Land defence and defenders".  Unknown parameter |url-status= ignored (help)