Msumari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Misumari
Msumari katika ubao

Msumari (pia: msumali) ni nondo nyembamba ya chuma au feleji yenye ncha na kichwa. Inatumiwa kwa kufunga kitu juu ya kitu kingine.

Kwa kawaida hupigwa kwa kutumia nyundo na hivyo kuingizwa katika ubao au ukutani.

WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Msumari" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Msumari kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.