Mseto Sports

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mseto Sports ni klabu ya Tanzania iliyopo mkoani Morogoro. Mnamo mwaka 1975 Mseto Spot ilishinda katika ligi kuu ya Tanzania[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Tanzania - List of Champions". rsssf.org. Iliwekwa mnamo 2023-05-14.