Muhammad Amour Chomboh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mohammed Amour Chombon)

Muhammad Amour Chomboh (amezaliwa tar. 25 Januari 1953 sehemu ya Makunduchi kisiwani mwa Zanzibar) ni mbunge wa jimbo la Magomeni katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Maisha yake[hariri | hariri chanzo]

Mh. Chomboh ni Mwislamu wa aina ya Sunni. Ameoa na wana watoto wanane.

Historia ya kazi yake[hariri | hariri chanzo]

Jina la kampuni Cheo Kuanzia Hadi
  • Wizara ya Uchumi na Biashara (Zanzibar)
Meneja wa stoo 1972 1979
  • "Marine and General Supplies"
Mkurugenzi 1986 1990
  • "Capital 200 Clearing & Forwarding"
Mkurugenzi 1991 1994
  • MIC Tanzania-Mobitel
Meneja wa Tawi (Znz) 1994 1999
  • "World Travel Adventure"
Meneja wa Fedha 2000 2005
  • Bunge la Tanzania
Mbunge kutoka Magomeni 2005 2015

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Muhammad Amour Chomboh (19 Julai 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-05-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.