Mlima Dukana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mlima Dukana ni volkeno yenye kimo cha mita 1,067 juu ya UB. Volikano hiyo iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kaunti ya Marsabit, Kenya[1][2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. www.volcanolive.com
  2. http://wikimapia.org