Mlima Cline

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Cline

Mlima Cline ni mlima wa Kanada, wenye kimo cha mita 3,361 juu ya usawa wa bahari.

Jina la mlima huu lilitungwa na J. Norman Collie kwa heshima ya Michel Cline ambaye alikuwa msimamizi Mfaransa aliyeishi Canada kuanzia mwaka 1824 hadi 1835.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Cline kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.