Mlima Alayta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Alayta nchini Ethiopia

Mlima Alayta ni mlima wa volikano unaopatikana katika mkoa wa Afar nchini Ethiopia. Sehemu ya Pembe tatu ya Afar(Afar Triangle), bonde la Afar ambapo ni ukanda wenye volikano hai pembezoni mwa mlima Afdera, volikano ya Afdera. Volikano hii ina eneo la kilomita za mraba 2700 kusini na magharibi mwa ziwa Afrera.  

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Alayta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.