Mkoa wa Sedhiou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa sedhiou nchini Senegal
Wilaya za Sedhiou

Mkoa wa Sédhiou ni mkoa mmojawapo nchini Senegal. Makao makuu yako mjini Sédhiou . Eneo la mkoa ni kilomita za mraba 7,341. Wakati wa sensa ya mwaka 2013 mkoa ulikuwa na wakazi 452,944.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Senegal: Administrative division, tovuti ya citypopulation.de, iliangaliwa Januari 2022