Mhanga Mkubwa
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mhanga Mkubwa | ||||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mhanga mkubwa Myrmecophaga tridactyla
|
||||||||||||||||||
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Mhanga Mkubwa, Myrmecophaga tridactyla, ni spishi kubwa kushinda wahanga wote. Mhanga mkubwa ni spishi pekee katika jenasi Myrmecophaga. Wahanga wakubwa wanakula sisimizi na mchwa kwa pua ndefu na ndimi zao.
| Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mhanga Mkubwa kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |