Pilosa
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Pilosa | ||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
|
Pilosa ni jina la Kisayansi cha oda ya wahanga wakubwa na slothu.
| Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pilosa kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Oda [hariri]
Oda Pilosa
- Nusuoda Vermilingua
- Familia Cyclopedidae
- Mhanga-hariri, Cyclopes didactylus (Silky Anteater)
- Familia Myrmecophagidae
- Mhanga Mkubwa, Myrmecophaga tridactyla (Giant Anteater)
- Tamandwa Kaskazi, Tamandua mexicana (Northern Tamandua)
- Tamandwa Kusi, Tamandua tetradactyla (Southern Tamandua)
- Familia Cyclopedidae
- Nusuoda Folivora
- Familia Bradypodidae: Slothu wenye vidole-vitatu
- Slothu Mdogo, Bradypus pygmaeus (Pygmy Three-toed Sloth)
- Slothu Koo-kahawia, Bradypus variegatus (Brown-throated Three-toed Sloth)
- Slothu Koo-jeupe, Bradypus tridactylus (Pale-throated Three-toed Sloth)
- Slothu-manyonya, Bradypus torquatus (Maned Three-toed Sloth)
- Familia Megalonychidae: Slothu wenye vidole-viwili
- Slothu wa Hoffman, Choloepus hoffmanni (Hoffman's Two-toed Sloth)
- Slothu Kusi, Choloepus didactylus (Southern Two-toed Sloth)
- Familia Bradypodidae: Slothu wenye vidole-vitatu