Mfuko wa Amani wa Umoja wa Afrika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mfuko wa Amani wa Umoja wa Afrika ulianzishwa chini ya ibara ya 21 iliyofata mikakati wa kuanzisha baraza la amani na ulinzi wa Umoja wa Afrika ili kugharamia mikakati ya ulinzi na amani ya Umoja wa Afrika.

Mfuko huo unahusika na kusimamia uendeshaji wa shughuli zikiwemo upatanishi wa mazungumzo, kukuza taasisi na uendeshaji wa shughuli za usalama.

Mkutano wa Bungea 2016 uliamua kuwa Mfuko wa amani utagharimu $325milioni kufikia mwaka 2017,mpaka kufikia jumla ya $400 milioni mwaka 2020. Gharama hizo zinaashiria kiasi a macho kitahitajika kila mwaka.

Mfuko huo utahusika na uendeshaji wa shughuli hizo. Gharama zilizotajwa zitawezesha Umoja wa Afrika kugharamia shughuli za upatanishi, kuongeza taasisi mbalimbali, kuweka akiba pamoja na kujitoa ili kugharamia asilimia 25 ya shughuli zote za amani na usalama. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "PEACE FUND | African Union". au.int. Iliwekwa mnamo 2022-12-11.