Mercy Chinwo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mercy Chinwo ni mwanamuziki wa Injili raia Nigeria, mwimbaji na mtunzi wa nyimbo. Alishinda tuzo ya msimu wa 2 wa Idol wa Nigeria mnamo 2012. [1] Ana talanta sana.

Mercy Chinwo alizaliwa mnamo Septemba 5, 1990, huko Portharcourt, Jimbo la Rivers. Alifiwa na baba yake akiwa na umri mdogo sana. [2]

Chinwo alitoa wimbo wake wa kwanza, "Testimony", mwaka wa 2015, na "Igwe" mwaka mmoja baadaye. [3] Mnamo 2017, Mercy Chinwo alisaini Lebo ya Muziki wa Injili ya EeZee Conceptz. [4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "How Mercy Chinwo won Nigerian Idols". Vanguard News. 9 April 2012. Iliwekwa mnamo 9 June 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "Mercy Chinwo Biography: Age, Net Worth, Career, Awards, Ministry". Trengezie (kwa en-US). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-12-17. Iliwekwa mnamo 2021-12-17. 
  3. Media, D. O. D. (2019-11-12). "Gospel Artiste of the Week: MERCY CHINWO". Daughters Of Destiny TV (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2020-05-24. 
  4. "Mercy Chinwo gets signed to EeZee Conceptz Record Label | Gospotainment.com". gospotainment.com. Iliwekwa mnamo 9 June 2019.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mercy Chinwo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.